karibu kituo cha nishati ngarenanyuki

MANUFAA YA MITAMBO YA NISHATI YA GESI

Mitambo hiyo:
hutumia kinyesi cha mifugo kama malighafi ya kutengenezea nishati;
hutoa nishati ya kupikia kwa muda wa miaka 35 ijayo;
hutoa nishati rafiki kwa mazingira na ni chanzo cha nishati
kinacholinda afya kwa vile hakitoi moshi kinapowashwa;
inatoa mbolea ya thamani kubwa,ambayo ni mabaki kutokana na kinyesi kilichotumika kutengenezea nishati;
Zizi Linakuwa safi wakati wote wa mwaka.

MAFUNDI WA KITUO CHA NISHATI:
Mafundi wote wa Biogesi, ambao wanafanya kazi pamoja na Kituo cha Nishati cha Jamii, wajue kwamba wako chini ya CAMARTEC na Programu ya Taifa ya Mitambo ya Nishati ya Gesi (TDBP).


Mhudumu wa kituo anapatikana kituoni kila siku za jumatatu hadi jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 11: 00 jioni.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu Biogesi piga simu kwa namba zifuatazo: