karibu kituo cha nishati ngarenanyuki

Thursday, October 7, 2010

Je TANZANIA TUTAWEZA KWELI KUJITOSHELEZA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI?

Kulingana na matumizi ya nishati yanavyoendelea kuwa makubwa hapa kwetu TANZANIA, tunaona ya kwamba siku baada ya siku, matumizi ya nishati yanaendelea kuwa makubwa. ongezeko la watu pia katika miji pamoja na vijijini limekuwa kubwa kiasi kwamba nishati inahitajika kuwa kubwa sana ili watu waweze kufanya shughuli zao za kila siku.


 je sola panel kama hiyo hapo juu, ni kiasi gani kwa mtanzania wa kawaida kuweza kununua na kuweka nyumbani? lakini ni pesa nyingi sana.

electricity requirement is going high, and the monthly bills goes up this is due to the higher demand of the daily energy at home. so the big problem to come will be defforestation while people will look for another source of energy (traditional one) so that they can use at home, for food and other activities.

so what will we do next?; we need to look for another sources so that will be helpful for the future replacement so that we will go to sustain. but don't forget there is grobal warming issues.

This is our today post; from sarikiaely, ekaeli, grace, salome, aimbora,eliaremisa, and mwalimu buremoeli

please click that link for more details:http://www.google.co.tz/imgres?imgurl=http://c1.ecopreneurist.com/files/2010/08/renewable-energy.jpg&imgrefurl=http://ecopreneurist.com/2010/08/28/stimulus-money-to-help-renewable-energy/&h=346&w=347&sz=232&tbnid=Lz8AHRG6dkZJ3M:&tbnh=120&tbnw=120&prev=/images%3Fq%3Drenewable%2Benergy&zoom=1&q=renewable+energy&hl=sw&usg=__XnYxbCgctCd_ixR8bMat-k-4Oks=&sa=X&ei=CpetTMeKA8L7lwf-5qjwBQ&ved=0CD4Q9QEwBg

No comments:

Post a Comment