karibu kituo cha nishati ngarenanyuki

Tuesday, October 12, 2010

TUNGARAZA THE JIKO JANJA FUNDI

Tungaraza is A JIKO janja fundi in BESTRAY PROJECT, the jiko janja helps for faster cooking and prohibit (Moshi) smoke cycling inside of the house, so what TUNGARAZA says about the JIKO JANJA.

Tungaraza says: JIKO janja ni zuri sana kwa manufaa ya nyumbani hasa wakina mama majumbani wanatakiwa kupika kwa kutumia jiko janja, ni rahisi sana kwa kupika kwani linatumia kuni chache sana, halafu linahifadhi joto jingi kwa hiyo mapishi chopochopo na mazuri ni rahisi sana halafu kwa muda mfupi.

Tungaraza continue: Tungependelea wakina mama wote wa ngarenanyuki waje kituo cha nishati ngarenanyuki ili wapate mafunzo jinsi ya kutumia jiko janja, halafu watengenezewe huko majumbani mwao.

Tungaraza finish: ndoa haipendizi bila kuwa na jiko janja nyumbani.

SO: asante sana.

No comments:

Post a Comment